Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rapa The Girl JT afikiria kubadili jina

Rapa The Girl JT Afikiria Kubadili Jina Rapa The Girl JT afikiria kubadili jina

Mon, 30 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

‘Rapa’ kutoka Marekani The girl JT amefikiria kubadili jina lake la sasa hivi.

JT ameyasema hayo kupitia ukurasa wake wa X baada ya kuandika kuwa anafikiria kubadili jina lake la ‘rapa’ lakini aliacha swali kwa mashabiki zake kwa kuuliza kuwa wanadhani kwa nini abadili jina hilo.

Huku baadhi ya watu maarufu akiwemo Amaya amemshauri msanii huyo kuwa inabidi abadili jina kwa sababu jina hilo haliwezi ku-trend kwa sababu ni herufi mbili kwahiyo ni sawa yeye kubadili jina.

The girl JT anatamba na ngoma zake kama Wigs, ‘What you want’, ‘Good Love’ alio mshirikisha Usher na nyinginezo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live