Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rapa Tekashi 6ix9ine akamatwa Florida

Tekashi 6ix9ine.jpeg Rapa Tekashi 6ix9ine

Fri, 11 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mapema leo, Rapa Tekashi 6ix9ine alikamatwa huko Palm Beach, Florida nchini Marekani.

Mamlaka za usalama zinaeleza kwamba, Kuna dereva alisimamishwa barabarani na baadaye kutambulika kuwa ni Daniel Hernandez (6ix9ine) ambaye leseni yake ilisimamishwa.

Tekashi pia alikutwa na ‘mkeka’ wa makosa ya barabarani ambao aliwahi kuandikiwa kwa kushindwa kufika Mahakamani kwa kosa la kukutwa na gari ambalo halijasajiliwa.

Aidha taarifa zinaeleza kwamba, rapa huyo mwenye majivuno ameachiwa kwa dhamana ya ($2,000) takribani Tsh. Milioni 5.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live