Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rapa Swaelee yamkuta, ashambuliwa vibaya na Wasauz

Rapa Swaelee Yamkuta, Ashambuliwa Vibaya Na Wasauz Rapa Swaelee yamkuta, ashambuliwa vibaya na Wasauz

Wed, 12 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rapa @swaelee amejikuta akishambuliwa vikali na mashabiki wa Afrika Kusini baada ya ku-Tweet kuwa anatarajia kufanya ngoma ya Amapiano na kuweka bendera ya Nigeria badala ya Afrika Kusini.

"Tafadhali Ebu Iheshimu Afrika Kusini, Na Utumie Bendera Sahihi" - Shabiki

"Bro Wa-Nigeria Sio Waanzilishi Wa Huo Muziki, Unatukosea Heshima S.A, Toa Hiyo Bendera"

Hata Hivyo #SwaeLee Ameibuka Na Kuwaomba Msamaha Akidai Kuwa Hakuwa Na Maana Hiyo Kama Walivyofikiri, Akisema Kwamba Yeye Ametambulishwa Katika Muziki Wa Amapiano Na Wa-Nigeria .....

"Nafahamu Fika Chimbuko La Muziki Huu Ni Afrika Kusini, Hivyo Sio Sawa Kugombana/ Kuingia Katika Vita, Ni Bora Tuwe Pamoja Na Amani Kwasababu Masuala Kama Haya Ndio Yanatugawa, Nawapenda Wa-Afrika Wote"

Chanzo: www.tanzaniaweb.live