Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rapa Sexyy Red 'amtunuku' mtoto Drake

Drake Na Sexyy .jpeg Rapa Sexyy Red 'amtunuku' mtoto Drake

Sat, 17 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya ‘rapa’ Sexyy Red na mwanamuziki Drake kuonesha ukaribu kwa siku za hivi karibuni mwanadada huyo amewauliza swali mashabiki wake kama ni sawa kumpa jukumu la malezi ya mtoto wake Drake.

Sexyy Red kupitia ukurasa wake wa X alianza kwa kumshukuru Drake kwa kumshirikisha kwenye albumu yake ‘For All The Dogs’ huku akiuliza mashabiki wake kuwa ni sawa yeye kumpa Drake jukumu la malezi ya mtoto wake, hii inakuja baada ya wawili hao kuwa na ukaribu wa kupitiliza katika kipindi cha ujauzito.

Ikumbukwe kuwa hata hivyo #Drake hausiki na ujauzito wa #SexyyRed, kwani mwanadada huyo alishawahi kum-post Baby Dady wake lakini hakuweza kumuonesha sura yake.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live