Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rapa Quavo ateta hili na Makamu wa Rais wa Marekani

Quavooo Rapa Quavo ateta hili na Makamu wa Rais wa Marekani

Fri, 22 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rapa Quavo amekutana na Makamu wa Rais wa Marekani, Bi. Kamala Harris kwenye Ikulu ya White House na kuzungumza naye masuala kadhaa ikiwemo la kudhibiti vurugu na uhalifu wa silaha nchini humo.

Quavo amemwambia Kamala kwamba hataki mtu wake mwingine wa karibu auawe kwa risasi kama ndugu yake TakeOff ambaye aliuawa Novemba 1, 2022.

“Sitaki hii itokee kwa mtu mwingine. Ninataka kupunguza chini kabisa hizi asilimia. Tunapaswa kufanya vizuri kwenye kudhibiti silaha.” alisema Quavo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live