Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rapa Mtanzania kufanya kolabo na Davido?

Rapa Mtanzania Kufanya Kolabo Na Davido Rapa Mtanzania kufanya kolabo na Davido?

Mon, 16 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rapa mwenye asili ya Tanzania anayeishi Nchini Australia Simorix The General ameonekana akiwa karibu na msanii kutoka Nchini Nigeria Davido bado haijafamika kama kutakuwa na ngoma ya pamoja itakayokuja kutoka kwao.

Rapa mwenye asili ya Tanzania anayeishi Nchini Australia Simorix The General ameonekana akiwa karibu na msanii kutoka Nchini Nigeria Davido bado haijafamika kama kutakuwa na ngoma ya pamoja itakayokuja kutoka kwao. Huwenda akaungana na Wasanii wengine wa Tz kama Diamond Platnumz na Dayna Nyange kufanya kazi na staa huyo mkubwa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live