Mwanamuziki wa Marekani Flo Rida ameshinda shtaka lake dhidi ya Kampuni ya vinywaji vya kuongeza nguvu, Celsius.
Kampuni hiyo ya Energy Drink itamlipa Flo Rida kiasi cha ($82 million) zaidi ya TSh. BILIONI 191 kama fidia kwa kuwahi kumvunjia mkataba katikati ya makubaliano.
Awali alikuwa akiidai kampuni hiyo kiasi cha ($30,000) lakini kutokana na Kampuni hiyo kuwa kubwa zaidi na kupata faida kubwa hasa kupitia yeye na nyimbo zake wakati akiitangaza tangu 2014, aliongeza kiasi hadi kufikia hicho tajwa hapo juu.
SWIPE kuona akitangaza ushindi huo mkubwa kwake huku akishushia na fundo moja la kinywaji hicho mbele ya Waandishi wa habari