Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rapa Kodak amtumia zawadi ya gari mpenzi wake yeye akiwa gerezani

Kodak Black.jpeg Rapa Kodak amtumia zawadi ya gari mpenzi wake yeye akiwa gerezani

Mon, 15 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Licha ya kuwa gerezani ‘rapa’ kutoka nchini Marekani, Kodak Black amemfanyia surprise mama watoto wake kwa kutuma zawadi ya gari aina ya Range Rover na kiasi cha pesa tsh 251 milioni.

Licha ya kuwa gerezani ‘rapa’ kutoka nchini Marekani, Kodak Black amemfanyia surprise mama watoto wake kwa kutuma zawadi ya gari aina ya Range Rover na kiasi cha pesa tsh 251 milioni. Mwanamuziki huyo akiwa gerezani alimuagiza mtu wake wa karibu kufikisha zawadi hizo kwa mama watoto wake. Kodak alihukumia mwaka Jana kifungo cha mwaka mmoja na miezi nane gerezani, baada ya kukutwa na makosa ya utumiaji na uuzaji wa madawa ya kulevya na ulaghai.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live