Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rapa Ice Spice ashika nafasi ya pili Google

Rapa Ice Spice Ashika Nafasi Ya Pili Google Rapa Ice Spice ashika nafasi ya pili Google

Tue, 12 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

‘Rapa’ kutoka nchini Marekani, Ice Spice ameshika nafasi ya pili kuwa mwanamuziki aliye fuatiliwa sana na kutafutwa kupitia Google kwa mwaka 2023 nchini humo.

#Google search engine imetangaza mada zao kuu zinazovuma mwaka huu ikiwemo wanamuziki walio ongoza kwa kufatiliwa kupitia #Google, huku katika orodha hiyo, #IceSpice ameshika namba mbili, na namba moja ikichukuliwa na mwanamuziki #JasonAldean.

#IceSpice anatamba na ngoma zake kama ‘Deli’, ‘In ha mood’ ‘Pretty girl’ pia amewahi kushirikishwa katika wimbo wa #NickiMinaji ‘Barbie World’.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live