Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rapa Fat Joe atunukiwa Udaktari wa heshima

Fat Joe PHD Fat Joe

Sun, 2 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Chuo kikuu cha Lehma nchini Marekani kimemtunuku udaktari wa heshima Rapa mkongwe nchini Marekani Fat Joe kutokana na juhudi na mawazo yake chanya katika jamii.

Chuo hicho cha mjini Bronx New York kimempa heshima Fat Joe ambaye pia ni mzaliwa wa eneo hilo katika halfa ya mahafali ambayo msanii huyo pia alihhdhuria.

Je unadhani msanii gani nchini anafaa kupewa udaktari waheshima? Tupe Maoni yako

Chanzo: www.tanzaniaweb.live