Menu ›
Burudani
Fri, 4 Oct 2024
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Rapa Conboi (@iamconboi) ametujuza kuwa anaumwa sana na anatapika damu. Kwenye ujumbe wake hapa instagram, Conboi amesema kwa sasa yupo hospitali na anaendelea na matibabu.
Rapa Conboi (@iamconboi) ametujuza kuwa anaumwa sana na anatapika damu. Kwenye ujumbe wake hapa instagram, Conboi amesema kwa sasa yupo hospitali na anaendelea na matibabu. Tuzidi kumuombea hali yake ikae sawa.
Chanzo: www.tanzaniaweb.live