Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rapa Bando adai kurudishwa nyuma na lebo ya Rayvanny

Rapa Bando Adai Kurudishwa Nyuma Na Lebo Ya Rayvanny Rapa Bando adai kurudishwa nyuma na lebo ya Rayvanny

Wed, 27 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rapa Bando amedai kuwa Lebo ya @nextlevelmusic_tz inayomilikiwa na staa wa muziki @rayvanny imechangia kwa kiasi kikubwa kumrudisha nyuma kimuziki kwani alifikia hatua ya kusaini mkataba na alisuburi zaidi ya mwaka na nusu lakini hakuna kilichofanyika. . Akizungumza kwenye kipindi cha #XXL cha #CloudsFm , #Bando amesema..

Rapa Bando amedai kuwa Lebo ya @nextlevelmusic_tz inayomilikiwa na staa wa muziki @rayvanny imechangia kwa kiasi kikubwa kumrudisha nyuma kimuziki kwani alifikia hatua ya kusaini mkataba na alisuburi zaidi ya mwaka na nusu lakini hakuna kilichofanyika. . Akizungumza kwenye kipindi cha #XXL cha #CloudsFm , #Bando amesema.. "Mimi nimekaa pale Next level zaidi ya mwaka mmoja na nusu, Mimi nimetoka pale mwaka 2022 Broo alikuwa mtu wangu wa karibu kabla ya kuanzisha hiyo lebo nilikutana nae IG aliniambia inabidi tufanye kazi na alinikuta tayari nimeshafika sehemu, Mimi ndoto zangu ni kufikisha muziki wangu mbali nikaamini lakini nilikaa muda mrefu bila mafanikio sijawahi kupata wala kuingiza hela yoyote".

Chanzo: www.tanzaniaweb.live