Menu ›
Burudani
Tue, 24 Oct 2023
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Rapper kutoka nchini #Marekani, na baby mama wa #Rihanna #ASAPRocky ametajwa kuwa Mkurugenzi wa Ubunifu (Creative Director) wa ‘kampuni’ ya kutengeneza mavazi ya #PUMAXF1 .
Inaelezwa kuwa kazi ya ‘rapa’ huyo katika ‘kampuni’ hiyo itakuwa ni kutengeneza ‘design’ aina mbali mbali za mavazi kwa ajili ya ma-dereva na washiriki wa michuano ya mbio za Magari maarufu kama #Langalanga.
Huku ubunifu wa kwanza wa #Asap utaanza kuonekana kwenye mashindano ya Las Vegas, Grand Prix Novemba mwaka huu.
Mwanamuziki huyo mwenye umri wa miaka 35 sasa anatamba wimbo wake wa ‘RIOT’ aliouachia mwezi mmoja uliopita..
Chanzo: www.tanzaniaweb.live