Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ramsey, Funke wametisha mbaya Tuzo za AMVCA

AMVCA 2022 Winners List 1 Ramsey, Funke wametisha mbaya Tuzo za AMVCA

Sun, 15 May 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Waigizaji mashuhuri wa filamu Ramsey Nouah na Funke Akindele-Bello wote walikuwa wenye tabasamu baada ya kushinda katika usiku wa Tuzo za Africa Magic Viewers’ Choice (AMVCA) msimu wa nane zilizofanyika usiku wa kuamkia leo.

Tamasha hilo lilivutia wengi na kuhusisha mastaa kadhaa kutoka hollywood, Marekani.

Orodha ya Washindi wa AMVCA 2022 iko hapa chini:

Best actress in a comedy – Funke Akindele Bello (Omo Ghetto: The Saga).

Best actor in a comedy – Samuel Perry ‘Broda Shaggi’ (Dwindle).

Best supporting actress – Omowunmi Dada (Country Hard).

Best supporting actor – Odunlade Adekola (Jankariwo).

Best actress in a drama – Osas Ighodaro (Rattlesnake).

Best actor in a drama – Stan Nze (Rattlesnake: The Ahanna Story).

Best short film or online video – Taiwo Ogunnimo (I am the prostitute Mama described).

Best Indigenous language (Yoruba) – Alaise – David Akande, Demola Yusuf, Edgard Leroy.

Best indigenous language (Hausa) – Voiceless – Rogers Ofime

Best Indigenous language (Igbo) – Nne-Ka – Uche Nnanna Maduka.

Best Indigenous language (Swahili) – Obambo (Freddy Feruzi).

Best art director (Movie or TV Series) Tunji Afolayan – Amina.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live