Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Rais wa Ufaransa aeleza sababu ya kumuoa mwalimu wake

Macron Qnd Brigitte .jpeg Rais wa Ufaransa aeleza sababu ya kumuoa mwalimu wake

Thu, 19 Jan 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Shirika la habari la Ufaransa AFP liliripoti kuwa rais Emmanuel Macron wa Ufaransa hivi karibuni alieleza hadithi yake ya mapenzi kwenye kipindi cha televisheni akisema, “Hakuna chochote kinachoweza kukuzuia wakati unapozama kwenye mapenzi.”

Habari zinasema wakati Macron (43) alipokuwa na umri wa miaka 15 alikuwa akisoma katika shule ya sekondari mjini Amiens, Kaskazini mwa Ufaransa, na hapo alikutana na kupendana na mwalimu wa kike Brigitte (68), ambaye ni mkubwa kwa miaka 24 kuliko Macron, na wakati ule Brigitte alikuwa ameshaolewa na kuwa na watoto watatu.

Katika mwaka 2007, Macron na Brigitte walifunga ndoa baada ya kupendana kwa miaka 15.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live