Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rais Yoweri Museven aguswa na msiba wa Radio

2399 68HGW 604x400

Thu, 1 Feb 2018 Chanzo: millardayo.com

Kufuatia kifo cha msanii kutoka kwenye kundi la Goodlife, Radio aliyefariki leo alfajiri nchini Uganda, Rais Yoweri Museven ameonesha hisia za kuguswa na msiba wa msanii huyo.

Museven kupitia ukurasa wake wa twitter aliyaandika haya…>>>Have been told about the untimely death of musician Moses Ssekibogo aka Mowzey Radio. I had only recently made a financial contribution towards his treatment and hoped he would get better. He was a talented young person with a great future ahead of him. May he rest in peace.

“Nimeambiwa kifo cha msanii Moses Ssekibogo aka Mowzey Radio kwa kuchelewa , nilitoa mchango wangu wa fedha kwaajili ya matibabu yake na nilikuwa nina imani kuwa atapona. Alikuwa ni kijana mwenye kipaji na mwenye maisha mazuri mbeleni. Apumzike kwa amani.”

 

Chanzo: millardayo.com