Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rais Samia ateta na wasanii Korea Kusini

Rais Samia Korea Rais Samia ateta na wasanii Korea Kusini

Sat, 1 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rais Samia Suluhu Hassan akifanya mazungumzo na baadhi ya wasanii alioambatana nao katika ziara nchini Korea Kusini leo Juni 1, 2024.

Samia yupo nchini Korea kwa ziara ya siku sita, ambako pamoja na mambo mengine atashuhudia utiaji saini wa mikataba mbalimbali ya ushirikiano.

Katika ziara hiyo Rais Samia ameambatana na viongozi mbalimbali wakiwemo Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye, Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk Ashatu Kijaji na Waziri wa Nchi, Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo.

Wengine ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais wa Zanzibar, Fedha na Mipango, Dk Saada Mkuya na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Natu Mwamba.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live