Menu ›
Burudani
Wed, 31 Jan 2018
Chanzo: bongo5.com
Rais wa Uganda, Yoweri Museven ametoa Milioni 30 kwa ajili ya matibabu ya msanii Radio.
Msanii Radio ambaye amekuwa akifanya kazi na mwenzake Weasel, alipata ajali January 23 mwaka huu na hali yake inaripotiwa kuwa mbaya.
Hapo jana taaarifa ilitolewa kupitia ukurasa wa Instagram wa Radio na Weasel ilieleza kuwa February 4 mwaka huu kutafanyika maombi maalumu kwa ajili ya kumuombea Weasel.
Chanzo: bongo5.com