Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rais Magufuli amtembelea Mzee Majuto hospitali (+Picha)

Thu, 1 Feb 2018 Chanzo: bongo5.com

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli  leo amemtembelea muigizaji mkongwe, Mzee Majuto katika hospitali ya Tumaini jijini Dar es salaam anapopatiwa matibabu.

Mzee Majuto awali alikuwa akitibiwa katika hospitali ya Taifa Muhimbili.

Chanzo: bongo5.com