Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rais Dk. Magufuli ameomba wimbo wa Profesa Jay

RAIS LEO 660x400 Rais Dk. Magufuli ameomba wimbo wa Profesa Jay

Sat, 27 Feb 2021 Chanzo: millardayo.com

Rais wa Tanzania, Dkt. John Magufuli, ameomba apigiwe wimbo ulioimbwa na Professor Jay na Stamina, wenye ujumbe unaomsema baba aliyeshindwa kutimiza majukumu yake kwa mtoto unaoitwa Baba.

Rais Dk. Magufuli amebainisha kuvutiwa na mashairi ya wimbo huo leo Februari 25, 2021, Jijini Dar es Salaam, wakati akizindua jengo la Jitegemee na Africa Magic Group Limited.

“Mimi nataka muziki mmoja nafikiri umepigwa na Professor Jay, unazungumzia juu ya mtu aliyekwenda kumsema baba yake, akasema nazungumza na wewe sijui unaitwaje ?, huu wimbo una message (ujumbe),” Rais Dkt.magufuli.

EXCLUSIVE: MAAJABU YA MTOTO GENIUS WA HESABU, “SIJAFUNDISHWA, WAKUBWA HAWANIWEZI”

Chanzo: millardayo.com