Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Raia wa India mwenye watoto 89 na wake 38 afariki

118917000 Gettyimages 109304902 660x400.jpeg Raia wa India mwenye watoto 89 na wake 38 afariki

Thu, 17 Jun 2021 Chanzo: millardayo.com

Ni Simanzi zilizotawala nchini India baada ya Raia anayekadiriwa kuwa na familia kubwa zaidi Duniani Bwana Ziona Chana amefariki dunia, raia huyo mwenye umri wa miaka 76 ambae ni mzaliwa wa jimbo la Mizorum (India) ameacha wake 38 na watoto 89 pamoja na wajukuu 36.

Ni Simanzi zilizotawala nchini India baada ya Raia anayekadiriwa kuwa na familia kubwa zaidi Duniani Bwana Ziona Chana amefariki dunia, raia huyo mwenye umri wa miaka 76 ambae ni mzaliwa wa jimbo la Mizorum (India) ameacha wake 38 na watoto 89 pamoja na wajukuu 36. chanzo cha kifo chake ni maradhi ya Shinikizo la Moyo pamoja na ugonjwa wa Kisukari ambayo yamekuwa yakimsumbua kwa muda mrefu.

Chanzo: millardayo.com