Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Radio kufanyiwa maombi maalumu kuokoa uhai wake

Wed, 31 Jan 2018 Chanzo: bongo5.com

Msanii wa muziki kutoka nchini Uganda, Radio atafanyia maombi maalumu kufuatia ajali mbaya iliyopelekea kuwa mahututi kwa siku kadhaa sasa.



Maombi hayo yameandaliwa kufanyika kwenye kanisa la Light the World lililopo Nansana ambalo linaongozwa na Wilson Bugembe.

Msanii huyo ambaye amekuwa akifanya vizuri na mwenzie Weasel (GoodLife),   tangu January 23 mwaka huu hali yake imekuwa kuripotiwa kuwa mbaya kufuatia ajali aliyoipata kuamkia siku hiyo.

Chanzo: bongo5.com