Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

RIPOTI: The Story of Adidon ya Pusha-T yaharibu biashara ya Drake na Adidas

8512 Pusha T Drake 1 TZW

Thu, 31 May 2018 Chanzo: bongo5.com

Ngoma mpya ya The Story of Adidon ya Pusha-T huenda ikawa imemuumiza zaidi Drake na kumuharibia dili lake nono.



Dili hilo tena na kampuni yake mpya ya Adidas ambayo amedaiwa kusaini nayo mkataba baada ya kuachana na Jordan.

Inadaiwa kuwa “Adidon” ni jina la brand ya viatu na sweatsuits mpya za Drake ambazo zimetokana na jina la Adonis ambalo ni jina la mtoto wa Drake.

Wakati huo huo imeelezwa kuwa Imeripotiwa kuwa Drake alikuwa amepanga kumtangaza mtoto wake huyo kwenye dili hilo na Adidas. Hata hivyo Pusha anasema Drizzy anataka kumtumia mtoto wake ili auze bidhaa zake kwa sababu alimtelekezamtoto huyo siku nyingi.

Loading...
Chanzo: bongo5.com