Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

RAYVANNY ASHINDA TUNZO, DIAMOND, ALI KIBA NA HARMONIZE CHALI

Rayvanny?fit=800%2C445 RAYVANNY ASHINDA TUNZO, DIAMOND, ALI KIBA NA HARMONIZE CHALI

Mon, 21 Dec 2020 Chanzo: zanzibar24.co.tz

Msanii wa muziki wa BongoFleva kutoka wcb_wasafi  Rayvanny ametangazwa mshindi tuzo za @aeausa 2020 katika kipengele cha Best Male Artist – East/South and North Africa akiwashinda Elgrande toto, The Ben, Diamond Platnumz, Alikiba Eddy Kenzo, Harmonize, Tewodros kassahun AKA Teddy Afro, Jah Prayzah na Bruce Melodie aliokuwa akichuana nao kwenye Kipengele hicho.

Chanzo: zanzibar24.co.tz