Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

R.Kelly apata mtoto akiwa Gerezani

R Kelly Apata Mtoto R. Kelly na mchumba wake Joycelyn Savage wapata mtoto wa kike

Tue, 20 Dec 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nyota wa muziki wa RnB kutoka nchini Marekani Robert Kelly "R.Kelly" rasmi sasa ni baba, baada ya kupata mtoto wake wa kwanza.

R. Kelly amempata Mtoto huyo, kwa njia ya upandikizaji na mchumba wake Joycelyn Savage ambae alijitokeza hadharani na kutangaza anaujauzito wa R.Kelly.

Nyota huyo wa RnB, bado anaendelea kutumikia kifungo chake cha miaka 30 jela kwa kosa la kutumia hadhi yake kuwadhalilisha kingono watoto na wanawake.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live