Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Queen Latifah anaswa akijihusisha na mapenzi ya jinsia moja

1805 5a670e6b0d834 TZW

Wed, 24 Jan 2018 Chanzo: bongo5.com

Rapper wa kike kutoka nchini Marekani, Queen Latifah amenaswa na kamera za mapaparazi akiwa na mwanamke mmoja  anayedhaiwa kuwa ni mpenzi wake aitwaye Eboni Nichols.



Kwa mujibu wa mtandao wa Shaderoom, umeonyesha wawili hao wakiwa katika mizunguko yao  maeno ya New York nchi Marekani.

Mwaka 2014 wawili hao walinashwa na kamera za mapaparaza kuwa wanakiss . Pia rapper huyo aliwahi kukiri kushiriki mahusiano ya jinsia moja.

Chanzo: bongo5.com