Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Quavo azindua Kitabu cha Mapishi

Https   Hypebeast Quavo azindua Kitabu cha Mapishi

Wed, 6 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

‘Rapa’ kutoka nchini Marekani, Quavo ametambulisha kitabu chake cha Mapishi kinachoitwa ‘Huncho Farms’ kilichowasilishwa na taasisi yake mpya ya #QuavoCares, Urban Recipe na Atlanta Community Food Bank.

Kitabu hicho kinaangazia mapishi ya familia wakati wa likizo na vidokezo vya kupika. Toleo la kitabu hicho pia linauhusiano mkubwa na kampeni ya utoaji zawadi ya kila mwaka ya Quavo.

Zoezi la uzinduzi wa kitabu hicho cha mapishi, liliambatana na kampeni ya upanuzi wa Huncho Farms, soko la wazi la wakulima lililoanzishwa na Quavo mwenyewe.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live