Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Quavo atoa misaada kwa familia 300

SJSMTB7PAVDX3AM32J4YPGOTOY Quavo atoa misaada kwa familia 300

Thu, 23 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

‘Rapa’ kutoka nchini Marekani Quavo ametoa misaada mbalimbali kwa familia 300 Atlanta katika sikukuu ya ‘Thanks Giving’.

Quavo kupitia taasisi yake ya ‘Huncho Farms’ imetoa misaada hiyo katika sherehe za kitamaduni kutoka Marekani zinazofanyika kila ifikapo Novemba 23.

Aidha Hucho Farms iliambatana na wapishi maarufu ‘Urban Recipe’ kwa ajili ya kuzindua kitabu cha mapishi chenye mbinu mbalimbali za kupika kinachopatikana kupitia ‘Free download’.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live