Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Quavo ajifua karate Japan

Quavosss Quavo ajifua karate Japan

Fri, 8 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rapa kutoka Marekani, Quavious Keyate Marshall maarufu kama @quavohuncho ameonekana akijufunza Karate akiwa nchini Japan .

Rapa kutoka Marekani, Quavious Keyate Marshall maarufu kama @quavohuncho ameonekana akijufunza Karate akiwa nchini Japan . Karate ni Sanaa ya Mapigano huko Japan ambayo inaundwa na Maneno mawili ya Kijapan "Kara" na "Te" Kara ikiwa na Maana ya Pasipo silaha na Te ikiwa na Maana Mikono hivyo kutoa tafsiri kwamba ni kujihami pasipo matumizi ya silaha, Lengo lake likiwa ni kuisaidia jamii na si kuumiza watu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live