Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

QCHIEF AINGIA VITANI NA WASAFI, AWAPA SIKU MOJA KUJIELEZA

Capture 170.png?fit=516%2C571 QCHIEF AINGIA VITANI NA WASAFI, AWAPA SIKU MOJA KUJIELEZA

Thu, 4 Feb 2021 Chanzo: zanzibar24.co.tz

Msanii mkongwe kutoka nchini Tanzania Qchief ameutupia lawama uongizi wa Wasafi kwa kutumia jina na mashabiki zake bila kumpa taarifa yoyote.

Kupitia ukurasa wa kijamii wa Instagram Qchief ameandika ……….

Habari watanzania na industry yote ya mziki kwa ujumla.i think I need to address this issue to diamondplatnumz hellenkazimoto sallam_sk na uongozi mzima wa wcb_wasafi tigo_tanzania nimepokea simu nyingi sana Jana mpaka today kuwa mbona sikuonekana kwenye show.as you all know mziki mimi ndo unanilisha na kuendesha mimi na familia yangu na pia niko na watu nyuma yangu (management) ambao wameniona mtu wa Ajabu sana.kwani jina langu limeonekana kwenye poster ya tumewashanatigo na nilikuwa kama one of the performer siku ya tarehe 30/Jan uwanjawauhuru kitu ambacho sio kweli kwani sio mimi wala management ilizungumza na uongozi wa wasafi kuhusu show hiyo.nimejaribu kuwapigia lakini wanaleta sababu kwamba watu wamechoka kwasababu ya show.hivo basi management yangu na mimi tumetoa siku ya leo kuwa ya mwisho kupata maelezo juu ya utapeli huu kutumia jina langu kupata fans wangu na wao kujiongezea credibility. Naomba hellenkazimoto diamondplatnumz mu act haraka on this kwani tutakuja laumiana.sitaki matatizo na mtu napambana on my own naomba muwaeleze watanzania either video or mahandishi.alafu hatua nyingine zitafata.Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.Asubuhi njema

Chanzo: zanzibar24.co.tz