Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Q-Chief amlipua Babu Tale

Chillah Tale Q-Chief amlipua Babu Tale

Mon, 2 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mkongwe wa Bongo Fleva, Aboubakary Shaaban Katwila maarufu kama Q-Chief amemjia juu Meneja wa Diamond, Hamisi Taletale 'Babu Tale' akidai kuwa ana roho mbaya, na hafanani na matendo yake

"Hufanani na roho yako meno meupeee ila roho na nafsi chafu. U just wait cheo na wadhifa haviwezi kuzuia kudra za mwenyezi mungu una roho mbaya sana wewe. Mind u sishibi comments bora ugali dagaa," amesema Chillah.

Licha ya Chilla kutoa tuhuma hizo hajatoa sababu zilizopelekea kuandika ujumbe huo kumuendea Babu Tale.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live