Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Q Chief: Mr Pimbi aliwaambia watu nimekufa

Pimbi Chillah Q Chief: Mr Pimbi aliwaambia watu nimekufa

Mon, 30 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Legend wa muziki wa Bongo Fleva, Q Chief ameamua kumtolea uvivu Mwigizaji Mr Pimbi kwa akimwambia kuwa msanii huyo ana roho mbaya.

Chillah amesema kuwa Q Chief alipokuwa akitafutwa na Wakenya kwa ajili ya kufanya naye kazi, Mr Pimbi aliwajibu kuwa msanii huyo hayupo duniani, kwani alishafariki zamani.

Pia, Q Chillah alidai kwamba wasanii wenye mafanikio makubwa kama Diamond Platnumz hawavimbi lakini tatizo kubwa ni machawa (wapambe wao).

Aidha, Chillah aliongezea kwa kusema kwamba, msanii Alikiba ndiye msanii wake bora wa muda wote Tanzania.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live