Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Q Chief: Ali Kiba anakuja na media yake, hatakuwa muonevu kama Diamond

Q Chief: Ali Kiba Anakuja Na Media Yake, Hatakuwa Muonevu Kama Diamond Q Chief: Ali Kiba anakuja na media yake, hatakuwa muonevu kama Diamond

Wed, 21 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kutoka kwenye ukurasa wa Instagram wa @official_qchief Ameandika...

"Chibu ishi nayo hii yote mnayonifanyia na tale yule chege kwa lugumi nayajua na nayafahamu nimevulia sn ila compresa imeungua sina budi kukuambia ww ni snitch ulichowahi kumfanyia darasa years ago ndicho unachokifanya kwangu for how long will u and tale do this.

Kumbuka tangu kwa Qs Tale unanifitini kwa maneno njia zote zimeshindikana sasa mnazama maungoni mwaka jana nilipokea simu moja ya mzito mmoja ambaye alituchagua wasanii kadhaa ikiwemo tnc nilipoulizwa promo tufanye wp nikachagua Wasafi hapo ndipo nilipojichanganya bila kujua namkaribisha shetwain katika biashara kubwa.

Bila hofu ya Mungu Mondi ukakata jina langu wewe na Tale na mkasema mambo mengi kwa tajiri najiuliza tu mmefanya kwa wasanii wangapi? Hii ndio maana ya roho mbaya wanaoogopa kukwambia wanaafaida na wewe mimi sijawahi na kwa mfumo huo sitarajii vipi kaka au radio inakupa stress.

Mbona sisi tunaishi nazo imekuwaje ten .ungekuwa mtu mwenye nidhamu na hofu ungepokea simu za joni zaidi ya miezi 8 au tisa hamko sawa jiandae ali Kiba anakuja na media yake sidhani kama atakuwa na mfumo onevu kama wako when a man takes too much time to preach ur evel and not good jua kuna vitu vingi moyoni mwake na anavitumia kama kivuli cha kukuharibia mambo yako mimi pia ni binaaadam kama wewe na nina hisia unapozigusa bila idhini ya Mungu unanikwaza take this with u today."

Chanzo: www.tanzaniaweb.live