Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Prof Jay na Sugu watabaki kwenye historia - Jide

Jide Jay Picha ya Lady Jaydee na Professor Jay.

Tue, 12 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Komando Lady Jaydee amewataja wasanii Professor Jayt na Mr II Sugu kuwa watabaki kwenye historia ya maisha yake milele kwa sababu wamesimama naye katika kipindi cha kutengwa kwake.

“Ni @ProfessorJayTz na @TheRealJongwe wasanii ambao wamewahi kusimama na mimi katika kipindi cha kutengwa kwangu. Watabaki kwenye historia yangu milele. #ForeverMyBrothers #LadyJayDeeMemoir” - ameandika Lady Jaydee kupitia page yake ya X.

Tayari Lady Jaydee ameshafanya ngoma kadhaa na wakongwe hao wa muziki Tanzania zikiwemo Sugu ft Lady Jadydee ‘Muda mrefu’ na ‘Mambo ya Fedha’ pia nyimbo alizofanya na Prof Jay ni Bongo Dar es Salaam, Nimeamini na Joto Hasira.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live