Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Prof. Jay atoa neno kwa mastaa waliomjulia hali

Prof Jay Reuie Prof. Jay atoa neno kwa mastaa waliomjulia hali

Thu, 18 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Legendary wa Hiphop Bongo, Professor Jay (Joseph Haule) kupitia ukurasa wa Mtandao wa kijamii wa Insatagram amewashukuru Wasanii wenzake kwa kujitokeza kumjulia hali baada ya siku chache kujipost akiwa nyumbani na kueleza kuwa anaendelea salama na kuwashukuru wote walimsaidia kupambania afya yake kiujumla.

Legendary wa Hiphop Bongo, Professor Jay (Joseph Haule) kupitia ukurasa wa Mtandao wa kijamii wa Insatagram amewashukuru Wasanii wenzake kwa kujitokeza kumjulia hali baada ya siku chache kujipost akiwa nyumbani na kueleza kuwa anaendelea salama na kuwashukuru wote walimsaidia kupambania afya yake kiujumla. “Leo nimefurahi sana kutembelewa na ndugu zangu wa ukweli @therealfidq @aytanzania @ngomanagwa na @tharealsimplex Asanteni sana kwa kuja, Mungu awabariki sana” ameandika Professor Jay

Chanzo: www.tanzaniaweb.live