Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Prof. Jay aanza kuzungumza na kutambua watu

Prof Jay Maombi Prof. Jay

Mon, 21 Feb 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

IKIWA ni mwezi mzima sasa tangu nguli wa Hip Hop Bongo, Joseph Haule 'Prof. JAY' alazwe katika Hospitali ya Taifa Muhimbili huku ripoti zikieleza kwamba hawezi kuzungumza wala kutambua Watu, leo kupitia XXL ya CloudsFM Mtangazaji Mamybaby ametangaza good news kuhusu maendeleo ya Prof. Jizze.

IKIWA ni mwezi mzima sasa tangu nguli wa Hip Hop Bongo, Joseph Haule 'Prof. JAY' alazwe katika Hospitali ya Taifa Muhimbili huku ripoti zikieleza kwamba hawezi kuzungumza wala kutambua Watu, leo kupitia XXL ya CloudsFM Mtangazaji Mamybaby ametangaza good news kuhusu maendeleo ya Prof. Jizze. "Producer wetu AskofuTZA amenipa good news kwamba Profesa J ameanza kuzungumza jambo ambalo halijakuwepo hilo toka amelazwa na kubwa zaidi ameanza kutambua Watu," amesema Mamy Baby.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live