Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Producer Miika Mwamba ni mwamba kweli kwali

Miika Mwamba Miika Mwamba

Wed, 24 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ukitaja majina yasiopungua matano ya watayarishaj wa muziki Tanzania (Producers) mnamo miaka ya 2000 kuja juu basi huwez kukosa kumtaja huyu.

Anaitwa Miika Aleksanteri Kari (Miika Mwamba) amezaliwa Helsinki nchini Finland tar 16/october 1971. Hili jina Mwamba sio kwamba la kujitungia bali jina Kari(kikwao) tafsiri yake ni Mwamba hivyo basi ndo maana akaitwa Miika Mwamba na tukazoea kumwita hivyo.

Miika Mwamba alikuwa na uwezo mkubwa sana wa utayarishaji wa muziki na alileta changamoto kubwa kwa producers wa afrika mashariki kwa kipindi kile.Alichangia kwa kiasi kikubwa muziki wa bongo kukua.Alifanya kaz pale FM studio na Downtown records kwa ufupi tu.

Nyimbo alizofanya ni kama;

Twenzetu-Chegge ft YP,Ferouz&Temba

Elimu ya mitaani.com+Sauti ya gharama - D knob

H i+Julieta+Salome - Prince Dully Skykes

Kamanda - Daz Nundaz family

Nakupenda mpenz - Dudu baya

Ino mic- Ziggy Dee ( uganda)

Wange+Baby gal - Mad Ice

Bush party - Sold ground family

Tamara+Tamata - Hard mad

Maria salome - Saida karoli

Get down - Prezzo ft Naziz ( kenya)

Wanok nok+ taswira+Dingi - Mandojo& Domokaya

Kwenye chati - Baloz

Kikongwe -Picco

Mtoto wa geti kali - Inspector Haroun

Raha tu - A Y

Mkiwa - K Sal

Tupa mawe -Zahran ft.Complex

Vipi mambo - Mchiz Mox

Mashallah - Chid benz Mzee Yusuf.

Mwamba kwa sasa anaishi nchini kwao Finland.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live