Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Producer Aby Dad afunguka muziki kumlipa  

682 22427173 2030526687177406 303048202301472768 N TZW

Thu, 28 Dec 2017 Chanzo: bongo5.com

Producer wa muziki Bongo, Aby Dad amesema si kweli ma-producer hawanufaiki na kazi zao moja kwa moja kama inavyokuwa ikizungumzwa.

Hata hivyo amekiri kuwa kuna usumbufu wanaokumbana nao kutoka kwa wasanii. Akizungumza na Planet Bongo ya EA Radio amesema wasanii wana tabia wanapotiwa beat na producer ili kujitangaza na kazi hiyo kutoka hata kazi ya pili atahitaji kufanyiwa bure.

“Kwa mimi kwa kazi nilizozifanya kwa dhamani nililizozipata fo me nimeona ni advantage moja kubwa sana, kuna kitu kimepatikana kwa time lakini” amesema.

Moja ya ngoma zinazofanya vizuri kwa sasa kutoka Aby Dad ni ya Rich Mavoko ambayo amemshirikisha Patoranking kutoka Nigeria.

Chanzo: bongo5.com