Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Prezzo na Jaguar sasa mambo shwari

7230 Db91SqXX0AEmaV7 TZW

Tue, 1 May 2018 Chanzo: bongo5.com

Baada ya kuviambiana kwa muda mrefu hatamaye wasanii kutoka nchini Kenya, Prezzo na Jaguar wamemaliza bifu lao.



Jaguar ndiye aliyetangaza kumalizika kwa bifu mara baada ya kukutana.

Kupitia mitandao ya kijamii Jaguar ameeleza waliamua kupita katika njia tofauti kwa miaka mingi licha ya kuwa na ndoto zinazoendana, kwa kipindi chote mengi yamezungumzwa, hata hivyo wameamua kuweka tofauti zao pembeni kwa manufaa ya tasnia yao ya muziki.

Met up with my colleague and brother CMB For long, we chose to walk on different paths despite chasing the same dream. A lot was said over the years, but we have decided to rise above our differences and focus on the betterment of our entertainment industry.

Soma Pia; Prezzo amchana Jaguar, amuita mshamba, ni baada ya yeye kuitwa ‘socialite’ 

Kwa kipindi kirefu Prezzon alikuwa akiponda jina la Jaguar kwa kueleza Jaguar anayoifahamu yeye ni aina ya gari, Jaguar naye hakuwa nyuma kujibu hilo, kuna kipindi alimpa Prezzo ofa ya kutibiwa rehab bure.

Loading...
Chanzo: bongo5.com