Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Povu la Vanessa Mdee kwa wanaomuita mzee, “pita hivi”

1122 Screen Shot 2018 01 04 At 11.19.03 PM.png TZW

Fri, 5 Jan 2018 Chanzo: millardayo.com

Staa wa muziki kutokea Bongo Fleva Vanessa Mdee ameonyesha kukerwa na baadhi ya comments za watu kupitia mitandao ya kijamii kuwa anavaa nusu utupu , ana sura ya kizee na mafanikio ya muziki wake ni kutokana na wanaume wenye uwezo kifedha nyuma yake.

Vanessa Mdee amewajibu kupitia mtandao wake wa snapchat kwa kuandika “kama nimeezeka poa nimewasikia, pita kule”

“kwasababu kinachoenda kutokea hakitowahusu wadhaifu”

Vanessa Mdee amewaahidi wale wote wanaomdisi kuwa kuna vitu vizuri vinakuja kwa mwaka huu wa 2018.

Ulipitwa na hii???Kuna watu wamemtibua NANDY mpaka kaandika haya

 

 

 

Chanzo: millardayo.com