Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Povu: TID alipoulizwa kuhusu kumwagwa na mpenzi aliyemvisha pete ya uchumba 2010

7099 Z BONGO5. ZZ TZW

Thu, 26 Apr 2018 Chanzo: bongo5.com

Msanii wa muziki Bongo, TID amekata kuzungumzia lilipofia penzi lake na mrembo aliyemvisha pete ya uchumba mwaka 2010.



Muimbaji huyu anayetamba na ngoma ‘Wewe Dada’ katika mahojiano na E-Newz ya EATV alisema hapendi kuzungumzia mambo ambayo tayari yameshapita.

“Hiyo sasa it’s very long time, i am not here to discus about my past, you should know that, usipenda kufuatilia mapenzi ya watu hilo ndio tatizo lako,” amesema TID.

Soma Pia; TID amvisha pete mchumba

Katika hatua nyingine TID amekanusha taarifa zilizodai kuwa anaoa Juny mwaka huu kwa kusema sasa hivi watu wanataka kutengenezea kiki kwa kitendo cha kuoa, kwa hiyo yeye sio mtu kutafuta kiki kwa kutumia ndoa.

Chanzo: bongo5.com