Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Post ya kwanza ya Davido baada ya siku 49 za kifo cha mtoto wake

Davido X Chioma Davido amepost kwa mara ya kwanza

Mon, 19 Dec 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Hii ndio post ya kwanza ya mwimbaji Davido (@davido) baada ya siku 49 tangu ampoteze mwanaye wa Kiume Ifeanyi ambaye alifariki dunia Oktoba 31 mwaka huu kwa kutumbukia kwenye bwawa la kuogelea nyumbani kwao Lagos, Nigeria.

Davido ameweka picha akiwa na Chioma ambaye ndiye Mama mzazi wa marehemu Ifeanyi, wawili hao waalikuwa nchini Qatar kwenye hafla za ufungaji wa michuano ya Kombe la Dunia.

Katika sherhr hizo za ufungaji jana jioni Davido alipata nafasi ya kutumbuiza.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live