Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Post Malone ataja sababu ya kuchora

X1080 Post Malone ataja sababu ya kuchora

Sat, 27 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rapa kutoka nchini Marekani Post Malone amefunguka sababu ya kuchora tattoo usoni akidai kuwa alikuwa anatafuta mwonekano mzuri wa uso wake.

Kwa mujibu wa tovuti ya Daily Mail News imeeleza kuwa Malone alifanya hivyo kwa kuwa alijiona hana mvuto hivyo tattoo hizo zimempa mvuto usoni.

Post Malone hajawahi kuzifuta tattoo hizo ambazo zipo 14 usoni kwake huku akikaririwa mara kadhaa kuwa ana mpango wa kuziongeza.

Rapa huyo amewahi kufanya nyimbo mbalimbali kama vile: Sun Flower, Better Now, Wow, I like You, I Fall Apart, Rock Star, Congratulation na Goodbye.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live