Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Pombe na Ibrah viliharibu penzi letu na Beka - Happy

Tarimo Msd Pombe na Ibrah viliharibu penzi letu na Beka - Happy

Tue, 9 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanadada Happier Tarmo ambaye ni mama wa mtoto wa Beka Flavor ameweka wazi chanzo kilicho sababisha kuachana na Baba wa mtoto wake.

Katika mahojiano amesema Beka Flavor baada ya kushuka kimziki alianza kutumia pombe kupitiliza kitendo hicho kilimchukiza sana mwanadada huyo kutopendezwa Kabisa tabia hiyo ya Baka Flavor.

Pia, ameongeza kwa kusema Kuwa Beka Flavor alichukizwa sana na kitendo cha happier kuonekana kwenye Video ya Mwanamziki Ibrah, jambo hilo lilifanya Mwanadada huyo kutimuliwa Kama mbwa na kukosa sehemu ya kuishi na kuanza kuishi ofisini kwake.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live