Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Polo G akamatwa kwa kumiliki silaha kiholela

Polo G Fsz Polo G.

Fri, 12 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rapa wa California, Polo G alikamatwa kwa kosa la kumiliki silaha baada ya polisi kugundua bunduki katika chumba chake cha hoteli ya Dominick kwenye barabara ya Spring St katika sehemu ya chini ya Manhattan, siku ya Alhamisi, Polisi wamebainisha hayo.

Rapa huyo mwenye umri wa miaka 25, anayejulikana kama “Pop Out,” ambaye jina lake kamili ni Taurus Bartlett, alikuwa katika hoteli hiyo siku ya Jumatano wakati mhudumu wa kusafisha chumba chake ndipi alipoiona bunduki hiyo na ku ripoti.

Hoteli hiyo iliwataarifu polisi, ambao walimshitaki Polo G kwa kumiliki silaha.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live