Menu ›
Burudani
Tue, 1 Nov 2022
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Jeshi la Polisi katika jimbo la Lagos nchini Nigeria limewakamata wafanyakazi Wote Wa nyumbani Kwa Davido kufuatia kifo cha mwanae Ifeanyi
Msemaji wa jeshi hilo Benjamin Hundyin amethibitisha mapema siku ya Jumanne baada ya kusambaa kwa taarifa ya kifo cha mtoto huyo nakusema hatua hiyo ni ya uchunguzi kubaini kifo cha mtoto huyo.
"Wafanyakazi wote wa nyumbani kwa Davido wamepelekwa kituoni kutoa maelezo yao wenyewe juu ya kile Kilichotokea na ikiwa itabainika kuna yoyote atapatikana na hatia atawekwa chini ya ulinzi" - Benjamin Hundyin (Msemaji Wa Jeshi La Polisi).
Chanzo: www.tanzaniaweb.live