Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Polisi wamsaka alieweka Dawa ya nguvu za Kiume kwenye maji Kanisani

Vagra Kanisani Polisi wamsaka alieweka Dawa ya nguvu za Kiume kwenye maji Kanisani

Sat, 6 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Polisi mjini Bulawayo nchini Zimbabwe, wameanzisha msako mkali wa kumtafuta kijana aliyeweka dawa ya kuongeza nguvu za kiume maarufu kwa jina la (Viagra) kwenye tanki la maji la kanisa wakati wa ibada.

Mshukiwa ametambuliwa kwa jina la Tracy Sibanda mwenye umri wa miaka 18, na inasemekana alitekeleza unyama huo siku ya Pasaka na kuzua taharuki ndani ya kanisa.

Haijaeleweka bado kijana huyo alitoka wapi na wazo hilo la kifedhuli. Tupe maoni yako kutokana na tukio hili.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live