Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Poco Lee amfanyia sapraizi Davido

Poco Lee Davido Poco Lee amfanyia sapraizi Davido

Fri, 29 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Dansa na mburudishaji maarufu Iweh Pascal Odinaka aka Poco Lee amemsuprise msanii Davido kwenye jukwaa usiku wa shoo yake wakati wa onyesho la ziara ya albamu yake ya Timeless nchini Uingereza.

Dansa na mburudishaji maarufu Iweh Pascal Odinaka aka Poco Lee amemsuprise msanii Davido kwenye jukwaa usiku wa shoo yake wakati wa onyesho la ziara ya albamu yake ya Timeless nchini Uingereza. Poco Lee alijiunga na Davido bila kutarajia wakati akitumbuiza wimbo wake wa "Unavailable" na kujumuika na madansa wa msanii huyo mbele ya maelfu ya mashabiki tukio ambalo liliibua shangwe kwa mashabiki na kumuacha msanii huyo akitahamaki.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live