Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Platform na ujio mpya 2023

Platform Tzzz Platform na ujio mpya 2023

Thu, 2 Feb 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Star wa muziki kutoka Abbah Music Platform ameanza maandalizi yake ya kuanza kuushambulia mwaka 2023 baada ya 2022 kufanya poa

Star wa muziki kutoka Abbah Music Platform ameanza maandalizi yake ya kuanza kuushambulia mwaka 2023 baada ya 2022 kufanya poa Nyota huyo wa ngoma ya "Fall" amesema kuwa kwa sasa yupo Zanzibar kwa ajili ya maandalizi ya video ya wimbo wake mpya ambao ana mipango ya kuiachia kuanzia tarehe 20 ya mwezi huu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live