Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Platform akanusha kuwa na uhusiano na Munalove

Muna Na Platform Platform akanusha kuwa na uhusiano na Munalove

Thu, 4 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya kuzuka tetesi kupitia mitandao ya kijamii kuhusiana na mwanamuziki wa Bongofleva, Platform kuwa kwenye mahusiano na mwanadada Munalove, hatimaye Platform amekanusha tetesi hizo huku akiweka wazi kuwa wawili hao ni marafiki wa kawaida.

Baada ya kuzuka tetesi kupitia mitandao ya kijamii kuhusiana na mwanamuziki wa Bongofleva, Platform kuwa kwenye mahusiano na mwanadada Munalove, hatimaye Platform amekanusha tetesi hizo huku akiweka wazi kuwa wawili hao ni marafiki wa kawaida. Kufuatiwa na mahojiano yake katika moja ya chombo cha habari nchini Platform ameweka wazi kuwa yeye na Munalove ni marafiki toka zamani na wamejuana kupitia mitandao ya kijamii hivyo hawako katika mahusiano.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live